Alumnus say I

#1
Avocado kwa fence pale Litu (Mortuary)
Vuruta sheet ya msee kwa dirisha, pewa avocado mbili nayo.
Sembe slice
Haijaiva lazima iliwe na kijiko
Top Layer ni ya form 4
Meal-card muhimu kuliko bible.
Head-cook (Ondego) and DH captain was god and jesus respectively
21617818_1483882145034661_2476401257362993799_n.jpg

Collins Injera (na Jeshi ya 4 East) zile siku akiswitch between Cheering Squad na Bench ya School team ya Rugby (Muone hapo mbele katikati).
150851_316939205092819_756277427_n.jpg

There was this guy Ndirangu. He was kanono and biiiig. Ungeeza kula shock venye alikua anapaa kwa kiwanja akicheza rugby. He was literally a flying fat guy. Kupita na opponents kama vijiti. Sijui ako wapi Siku hizi.
I can't imagine how Kenya 7s would have been if the real Lions got in, kama akina Edgar Abere wa Impala, Makaka and Alex Luseno, the best hooker ever

Senior Teacher went by the Name Akaranga, so Gal yu a lead ya TOK ikiimba we used to replace part ya Girl and girl na Akaranga. Alikua anachoka sana akiwa teacher on duty anapita hapo hall Siku ya entertainment

Them days when Vybz Kartel had emaciated dreads and was already churning out hits, kabla hizi tothi za Gaza zizaliwe
 
Last edited:
#5
Uniform ilibadilishwa juu kitambo ilikuanga khaki.
It was kakhi first. Tukiingia, navy blue ilikua imefika form 2. Form 3 na 4 walikua wanamalizisha kakhi. After leaving, they switched back to something kakhish again. Sijui ni greyish brown. Been a while hebu nicheki their latest events inakaaje
 

Top