AM BUYING A SUZUKI ALTO

Ive driven this car, hua inapanda hadi milima za aberdare, fuel efficient, from Nairobi to nyeri and back with 900 bob, nipewe moja na 150k nmechoka kushonesha kIatu[ATTACH=full]154196[/ATTACH]

Hapo kwa fuel siamini

900ksh from kasarani to nyeri town and back, na hakakumaliza, the moment I arrived I knew I was in love

Sawa bro.
Be prepared to giggle every time you start the car.
That laugh is infectious.

Mtu anaweza weka hio engine kwa body ya benz? Asking for @uwesmake

Hiyo engine ikiharibikia kwa barabara unangoa unawekelea kwa shoulder unapeleka kwa makanika ama unabadilisha na ya boxer.

Buy Suzuki alto works. Has a small turbo ukienda ni kwenda.

Si ni zile za uber chap chap? Ziko poa sana chukua

Same car as mazda carol.
Hako kagari hunikalia kadogo sana. Lakini kila mtu ajipime kulingana na mifuko yake

What an ugly midget!

Lakini mifuko zingine wachana na gari maliza shida ya chakula

Si itakuwa common on Kenyan roads kama bed bugs?
Then akina Kamau waanze kuitarget?

Kako na engine kadogo sana. Three piston kama tractor.

:D:D:D am already infected…

Makanika murefi, si hio alto ni poa sana ya kuweka engine ya hayabusa…

Wueeh.
Hayabusa itarusha hiyo something kama feya.

:D:D heeeh wacha niketi kando nijionee

SUZUKI ALLTOY…

Nimesikia, lakini mia tisa is a very funny figure ya kununua ngata!

maybe alibuy 1K akafika home ikiwa kwa E with the light on

bora gari, ama gari bora.