Ama Kweli ccm wanaamini Watanzania ni mazuzu

Jameni; nimemsikia naibu waziri wa maliasili na utalii akijitapa kuwa duniani ni Tanzania pekee ndio hutoa fidia na “kifuta jasho” pale kunapotokea uharibifu wa mazao, mali nyingine na vifo kwa sababu ya wanyama pori.

Seriously! Kweli ccm mnajidanganya; zama hizi kweli mnapata ujasiri wa kudanganya hivyo mchana kweupe?!!?? Hivi mnapoapa huwa mnaapa kwa shetani?

mnara wa babeli huu,viongozi wote waongoooooooooooooooo

Anadhani wote ni kama yeye hatusomi yanayotokea duniani. Angalia publication hii kuonyesha kuwa compensation is a worldwide phenomenon!

Siwezi kuwashangaaa maana uongo ni jadi yao.kama jiwe alishatamka hadharani kua hakuna mahali duniani ambapo mwanafunzi akijifungua ana rudi shule

Ufalme wao ulishafitinika…wanaishi kwa Neema tu…
Definitely Neema ikifikia ukomo ndipo lile Neno litakapo timia la “MENE MENE TEKELI” yaani ufalme umeanguka.

Sharti ya uongo ni lzm uwe na kumbukumbu
Nalog off

Tupo katika Kuelimishana ukiiondoa Elimu ya DARASANI…

Usipende kufuata Mkumbo, Upatapo jambo Litafakari kwanza…

Sheria za Kutoa FIDIA ya Mazao au Uharibifu unaofanywa na WANYAMA PORI zipo karibu Nchi nyingi TATIZO hazitekelezeki kulingana na Mazingira na Ushahidi wa Matukio husika kutokuainishwa na sababu nyingi zinazokwamisha Malipo ya FIDIA hizo kwa NCHI NYINGI… ukiondoa Tanzania pekee

Attachment ya Mkuu [COLOR=rgb(44, 130, 201)]kyekomakubi[COLOR=rgb(0, 0, 0)] ni research article tu ya Global Ecology and Conservation kuhusu A theoretical model of community operated compensation scheme for crop damage by wild herbivores na siyo Practical Issue

Hivyo lete Bandiko linaloonyesha Nchi Fulani ililipa FIDIA kwa wananchi wake na siyo kupinga tu kutokana na MATATIZO yenu ya KISIASA…kwa Siasa za namna hii UFIPA na wezao wa aina hii watapata tabu sanaa…!!!

ZAMA ZINABADILIKA unatakiwa uwe kama CHURA kwenye Maji…!!!

Seriously! Kama ni kweli unaamini ulichokiandika hapa basi utaamini kila utakachoambiwa na hao ulioamua kuwaamini. In fact hata jiwe akikuambia baba yako mzazi ni punda wewe utaamini.

Yaani bila hata kufanya utafiti wowote; haiyumkiniki kuwa waliotunga sheria tulizo-copy kwao wasizitekeleze na zibaki kuwa “theoretical model” . Soma article hiyo niliyoambatanisha hapa.

Na nimeiweka makusudi ili ututhibitishie jambo fulani.

By the way; umesha-notice kuwa hata WEWE MWENYEWE umepinga alichokisema huyo naibu waziri? Remember; naibu waziri anadai “HAKUNA NCHI NYINGINE YEYOTE DUNIANI inayotoa fidia kwa watu wake kutokana na uharibifu wa wanyama pori zaidi ya Tanzania”. Wewe umeandika nini?

Huku Lumumba umetoka wapi, na wala sikujibu. Labda kidogo, Kuna reference kwenye article , soma kuna vivid examples of commpensation

asante sana!

Hivi huwa munaelewa haya Ma attachment munayoyaweka…!!! Hebu soma hizo sehemu nilizo highlight kwa Red color kwenye hilo bandiko lako… Eti na mwenzio anakuja Kushukuru…"Asante Sana’’ Hii ni aibu…!!!

NA HII ILIKUWA DISCUSSION TU NO PROOF…MSILISHE WATU ‘‘MATANDO PORI’’ Kuna vitu Tanzania iko vizuri kwenye Uso wa Dunia…Acheni kuokota vikaratasi Majalalani…

The AfESG HECWG has reviewed the application of monetary compensation schemes for elephant damage in several places and[COLOR=rgb(184, 49, 47)] finds little evidence that any have been [SIZE=6]particularly successful [/SIZE]at mitigating the problem. [SIZE=5]Examples are briefly discussed. [/SIZE]

Kenya
Compensation for damage by wildlife was paid under a national policy[COLOR=rgb(184, 49, 47)] until 1989. In that year payments for crop damage were suspended because the system became unworkable[COLOR=rgb(0, 0, 0)]…
Gabon
A nationwide survey of elephant crop raiding in Gabon interviewed nearly 3000 families in 218 villages. This study took about a year and is the largest survey of its kind in Africa.[COLOR=rgb(184, 49, 47)] In the wideranging [SIZE=6]discussion[/SIZE] and clear recommendations contained in the report, the author did not mention the issue of compensation for elephant damage (Lahm, 1996)[COLOR=rgb(0, 0, 0)]…[COLOR=rgb(184, 49, 47)]
Ghana
A conference to discuss the country’s most severe elephant problem around a forest National Park identified 14 measures (including compensation) that could be used to mitigate humanelephant conflict in some way.[COLOR=rgb(184, 49, 47)] The idea of monetary compensation was not adopted in the recommendations[COLOR=rgb(0, 0, 0)]…
Malawi In well-monitored trials in the 1980s adjacent to a large protected area, [COLOR=rgb(184, 49, 47)]the payment of compensation was demonstrated to have no beneficial effect[COLOR=rgb(0, 0, 0)]
Zimbabwe A compensation scheme was [COLOR=rgb(184, 49, 47)]tried by one district but abandoned when the number of claims quadrupled in the second year of operation (Taylor, 1993). Apart from vastly exceeding the expenditure budgeted for payments, this increase suggested that either bogus claims were being submitted or that farmers had reduced efforts to defend their crops. Significantly, the year of cessation (1991) was the third year that this district was allowed by central government to implement a locally-administered programme of wildlife utilisation and retain the revenue gained from it. [COLOR=rgb(184, 49, 47)]The district simply could not afford the scheme and compensation has not been revived[COLOR=rgb(0, 0, 0)]…

You are as predictable as the sunrise. Nilijua kuwa utataja mifano hiyo - na niliichagua document hii kwa makusudi kabisa nikijua the likely outcome. Hiyo ni mifano ya nchi iliyo-implement compensation schemes na zikaacha for whatever reasons. Kwa tafsiri ya ki-ccm ndio tuseme nchi zote kabisa duniani (ukitoa Tanzania) zilishaacha?

Now show us any document that says ALL COUNTRIES IN THE WORLD do not implement wildlife compensation schemes EXCEPT TANZANIA.

Halafu soma hapa uondoe ujinga wako- na nimekupa mfano hai wa nchi moja tu tena ya Kiafrika ili usibadilishe msemo kwa kudai nchi nyingine tofauti na za Kiafrika ndizo zina-implement wildlife compensation schemes.

https://www.google.com/amp/s/africasustainableconservation.com/2017/12/01/recommendation-for-increased-compensation-for-wildlife-caused-desths-and-damage-in-namibia/amp/

Btw; Mjini Chai katika jitihada zako za kuitetea serikali ya jiwe ndio umewatukana kuliko maelezo. Najua huelewi logic yangu, so I will clarify it based on the document I brought here.
(a) Kuna nchi ziliachana na wildlife compensation schemes ama baada ya kutokuona benefits au unmitigated challenges in their implementation. Kwa mantiki hiyo hao watu ni rational

(b). Hakuna mahali palipothibitisha au japo kudai tu ndani ya hiyo document kuwa nchi nyingine zote ziliacha based on the same reasons as those countries that did abandon (which means kuna nchi zina-implement schemes efficiently).

From (a) and (b) above (based on the fact kuwa hakuna cost-benefit-analysis yeyote iliyofanywa na serikali ya ccm kuhusu wildlife compensation scheme); na bado wanajisifu kuwa ni nchi pekee inayo-implement “scheme” what does this say about ccm?.

Usibishana na hili takataka la lumumba, achana nalo.

Lumumba ni full ushuzi. Period.

Inawezekana anayesema hivyo ndiyo hilo tu analolifahamu…

Cc: @Mahondaw