truck driver ni kijana mwingine niliona akiturn trailer ile mrefu kwa njia haitoshei. Kuna vile alikunjakunja hiyo kitu hadi ikageuka. na hata container peke yake zilikuwa zinajaa across the road akakunja kichwa.
What would
@Ka-Buda do and what would
@Meria Mata do. mungeita baby momma ama import respectively awaangalilie huko nyuma ndo musianguke kwa mtaro