Amicus Sinatra Sumarae

#23
Hii SGR naeza enda hapo na ni book the very day i'm travelling pamoja na return ya Wednesday?? Naplan kutoka Friday 9am if itakuwa gazetted as a public holiday. Isipo, itabaki bus but kurudi SGR.

Nko hiyo area Driftwood. Angalau hii mwaka gharama kashuka pande ya fare na 1600...
you can, if you are lucky, very very very lucky, like 95% lucky!
 
Top