Annoucent from JamiiTalk: Your full account details are not currently editable.

Kasomi

Senior Villager
#1
Habari wana jukwaa kwa wale wanaopata Tatizo punde wanapo jisajili na kupata ujumbe wa Your full account details are not currently editable.
Katika mtandao wa JamiiTalk, Tatizo hilo linafanyiwa kazi na pia baada ya kujisajili logout baada ya muda rudi na u login ili kuperuzi Mtandao wetu
wakati tukiwa tunalifanyia kazi hilo.

Baada ya muda Tatizo hilo halitokuwepo na utajisajili na kushiriki kwa urahisi.

Zaidi tembelea www.jamiitalk.com

Asante kwa kuchagua JamiiTalk
 

Top