Apana Chezea Serikali

#1
yaani gova ilikaa ivi ikaona ndo naswa iishe nguvu, lazima wamalize mwenye anawapea doh. Wanjigi akakamatiwa chini. Pesa ya maandamano ikakosa, ndo maana wamesimamisha na kupeana a stupid reason for that. Tangu lini wakakua concerned about the poor demonstrator on the street?
 

Top