Apana Chezea Serikali

yaani gova ilikaa ivi ikaona ndo naswa iishe nguvu, lazima wamalize mwenye anawapea doh. Wanjigi akakamatiwa chini. Pesa ya maandamano ikakosa, ndo maana wamesimamisha na kupeana a stupid reason for that. Tangu lini wakakua concerned about the poor demonstrator on the street?

hii tulimaliza kiuchambua kabla Paulo aandike waraka wa thesalonika wa kwanza

wtf does this mean?

Thessalonians in the Good Book.

Huyo thesalonika ni ndugu ya @introvert aka crayon bandit aka makanika

Wathesalonike

:D:D
Thesalonika Owiti
PO Box. Private Bag
Sondu

Hawa ndo watu hawacontribute to other people’s threads.

Fake news?
[ATTACH=full]133106[/ATTACH]

Seems legit.

we all saw it coming. Date ndio hatukuwa nayo. let the games continue