Apartment maeneo ya Ilala inahitajika

Habari zenu wanakenya talk,Jamani mwenye kuwa na apartment maeneo ilala inahitajika,bajeti isizidi laki 2.5 mpaka laki 3 mwisho,Mwenye kuwa nayo tuwasiliane

Vuta subira tu watakuja…

Sawa ngoja tusubiri wadau

Ngoja nkutumie namba ya Child Benz

Kaulizia apartment sio bangi!

Hahaha…wadau wanasema chid benzi alikuwa anaishi kwenye apartment ilala,mwishoni akaja akaiuza

Sasa hivi akili yake ameielekeza zaidi kwenye bangi kuliko kitu chochote hivyo yeyote anayehitaji msaada wake ajielekeze huko

Chid ndo mfalme wa Ilala La familia

Watu kama nyie ndio mliofanya mpaka Jamiiforum ikafungiwa,Yaani si kwa upuuzi kama huu

Unakung’utwa wewe sio bure

Ilikuwa zamani kwa sasa ni mfalme wa bangi