Apn

Kametembeza pia kwani safcom ni malaya aje

Kweli imeheartbreak watu wengi

Fukara mwenzako aliwaanika hapa…
[ATTACH=full]36798[/ATTACH]

haha bahati mbaya kwa watu

wajanja tuko sete

tricks ni mob NA HATUONGEI

eeeh sai mimi idm tu ni kudownload

hii ni Kenya kitu hawawezi kuuzia ni moyo tu na ni juu haiwezi uzika. sku izi ukipata kitu kanyagia. consumers are soo many such that the food chain is already destroyed

Trick ya free net tumia pekee yako

Mimi ni na make startime ione channels za dstv nasibongi hehe free net my a**ss thats old tricks