Arrested in UG at Midnight for Loitering

Guys, was at a visit in Ug the other day and woke up and midnight hungry and decided to go find some food in one of the 24-hour places. The place I was staying is fairly secure so I decide to just walk… kumbe the reason it is so secure is because of the patrols… that happen all the time

Anyway, I bump into a group of like 7 Ug police, of course, if you speak Swahili Ug police treat you very well for some reason, but they still wanted a bribe which I was not going to give the fuckers. they decide I will have to join them in the patrols then. In my mind am like “Oh yeah, free tour with 7 bodyguards, let’s do it like now”… Si tulichapa ma-roundi for 3 hours mpaka waka give up wakaniambia enda ulale.

The only thing that shook me is how these guys mishandle Ugandans, FUUCK… any Ugandan found loitering was kicked, anatolewa viatu na anatusiwa mbaya sana but wote waliachiliangwa almost immediately, just getting escorted home basically. Any homestead found awake sitting at their own compound wanaambiwa waende walale haraka sana…

Maze tulikuwa tunajificha kwa bush tukiona any light coming kama ma-commando

It was a great life experience overall

Kuna watu watakuuliza thermal imagery hata ya kiatu

Kama we ni mambo mbaya sana si ungewaambia you know your rights ndo tuone tukuogope

[ATTACH=full]249170[/ATTACH]

Bila pisha hakuna kitu hapa… Good hekaya lakini

those guys don’t even have “rights” in the vocabulary

Very interesting.

Which mtaa was this.
256 night patrols r also done by the army from the barracks-reduced visangas like those in 254

Mwafrika ni mtu bure kabisa:D

Ulipata food?

Polisi saba tu?
Hao Brown Rambo anatandika na kuvunja trigger finger halafu Uber mara hiyo.

Mkundu random hapana macheso…

Huyu jamaa ni kama mayai ilipasuliwa kwa haga na hataki kusema directly

Kweli this is the day that the Lord has made…ati @digi unadai effidens?

Na ungekuliwa?

https://www.youtube.com/watch?v=RY6vvKJGsqg

Mbuga, ggaba road

Food nilipata na huko almost 4am maze…

Yaani uko foreign military ruled fourth world country na uko na guts ya Ku stroll midnight . kweli Steven seagal Ni mkenya .

sasa unaona ungevumilia tu na hio njaa hadi asubuhi. it was possible hata hivo

Uliza wenzangu Kama @WuTang no as @Ken_Sarro na mkubwa @Abba we have been navigating those streets na ni ngumu Sana kushikwa uko. Sema ukweli ulikua wapi na unafanya nini