Guys wenye mnajua sana hii maneno ebu explain to me this scientifically… kwanini saa ile unapigana kuni uskie kunyamba ile time unarelease huanga unaskia kama mnyambo inataka kutoka na mafi hadi unakaza nozzle kabisa but iyo pressure inatoka kwa tumbo inakua too much sasa unatoa sauti ya mmmmmmmmmhhhhhh vile unakazana??? Why!!! Kama muniambii ntarudi kwenye nilikua nashuguli zangu
Nkt…
N
Tkn
[ATTACH=full]124123[/ATTACH][ATTACH=full]124124[/ATTACH]
:D:D
Thomas Partey with a hat-trick. Congo 1 Ghana 5. I hope Uganda will surprise Egypt tonight.
Hio nawekelea either Egypt win au no goal…
Egypt is currently leading 1-0 at halftime, while SA and I. Coast zinakamuliwa makwao.
SA of late imekuwa maembe sana. Nilijua iko mashakani venye ilikamuliwa away…
Hata Cameroon niliona game yao wako chini sana. I’m certain that Ghana, Algeria and Cameroon won’t be in next year’s world cup.
Hehehe…
Mahrez na Bentaleb hakuna kazi…
Cameroon ndio imenishangaza. Yaani from winning AFCON into 3rd place on the table with zero wins…Noma…
I wish Zambia and UG could qualify, nimechoka na hawa West and North Africans.
If Zambia wins tonight’s game, then they have a good chance, all they need is to hold Nigeria away, and avoid any defeat at home. Uganda on the other hand, they still have one tough game away. Sijui kama watatoboa…
Amuka ulale…
BabaYao ana watoto wangapi Kayole?
From Kunyamba to soccer?
Hawa ni waĺe hawana kazi
Sijui kwanini nacheka aki ya mungu
Ata wewe mwenye ujui… haya basi tutakujulia
hio nozzle[ATTACH=full]124364[/ATTACH]