Arrrrgh!!

Bullshet leo acha kenye itakua ikue… am back to Moshi na lazima nitoane chini… nilikua nikesema nimeacha kupigana kuni kumbe nikama nlikua na kusanya tu njoti… leo lzma ni inue mtu… kesi baadaye

Lakini na hii ujinga yako, you’re very much at home na hao wadanganyika…

Serengeti

Cheki

Au sio

Nunua infinix ya mbicha

Niko na pack kibao kutoka kenya

Weka trust mpangoni ama utajua NHIF cover haitoshi.Gedeng’gedeng’ let the mshibano begin.