Arsenal vs Bayern official thread

[ATTACH=full]83767[/ATTACH]
Ata KTN itaonyesha hii massacre
Nani ameona @uwesmake

12 Likes

kamu kamu kamunguna…reo shuma irare thiini…

2 Likes

Bayern wanaweka BBC ndani ya Arse

1 Like

Swara wa Kayole ameshalala, anangoja mzoga ya arsenshiet kesho morning

2 Likes

[ATTACH=full]83769[/ATTACH]

2 Likes

KTN wanaleta Bayern ama Real?

Supersport select wanaleta ya Bayern. Bayern vs Napoli sio game mbaya ni vile tu imekua overshadowed na hi game ya Gunia.

Ukiangalia vizuri ni Man u fans wana cheki hii mechi na hata hawako champions league

My prediction 1-1

1 Like

You’re so gay!

1 Like

This isn’t cool bro

2 Likes

Rudi kwa kunyi jamaa. Wanaume wako uwanjani wakitazama kabumbu.

Banter isn’t cool?

Enyewe lala tu fan wa chelseq…its real vs nap

3 Likes

Asante kwa kuja, kinyesi kubwa wewe

Napoli 1-0

Nugu Robben imetuzoea akiau!!!

Nimejichanganya :D:D

Whaa…what a goal from robben…leo asernalchieth mshaanza kukamuliwa mapema:D:D:D:D

3 Likes

Manze tunalemewa

1 Like

a millionth time you posting hi utoto mzee…kulala lazima mzae