Leo team yangu ikiongozwa na Unai Emeka(sijui anaitwaje) na tuna mzito Eye witness na kina Gazzeti na AubaMaduong itakamua Manchieth DFBLHKM.Ango @uwesmake na @123tokambio msilete maswara hapa.Kwingineko niko nyuma ya Mathare united kwa Slum dogs Derby.
Naona mechi ikiwa draw
Niko nyuma ya Magunias(Arsenal). Go away Man Useless. I so love the EPL
Hapa naona anko @uwesmake hata akuje za zile momo zake akinyooroshwa. Man city wanakuja na ile tinga ya SANY watafweka ka ile nyumba ile ya baaniani Wa Nakumatt UK.
mtapelekwa mbio kama baiskeli ya kuibwo
Ouch sikusoma League table vizuri. Niko nyuma ya ManCity. Ebu I print it now and hang it on the wall. Magunias can never beat ManCity.
Arsenali daaa hili ngome hawaliezi. Tutawatia mwanagu.
Its a game of two halves, nyinyi pigeni tu midomo. We’ll see who is going to have the last laugh, Man City must get a beating na sio tafadhali. Wenger is gone ama hamjui?
Arsenal 2-0 Man City .
MORALE MORALE! :D:D:D
Its
4:2:3:1 vs 4:1:4:1
Hapo wengernal kupata goal goal ni ngumu saidi sana
Mimi naona tu pesa kwa hii game…hizo corner za city zitakuwa mingi. Auba pia ako na bao yake hapa so game GG naona ikiingiana pia.
As usually I always support the underdogs…let’s go Arsenal!
Now you’re talking
Arsenal fan tv is back :D:D:D:D
Hush your gums.
Twende kabisa. Hata ikiwa draw ama penas ni sawa.
Wihe hinya. Wa kahee tiwe wa kairetu:D:D:D:D
League inakuwaga tamu hArsenal ikiwa mbele.
Arsenal win ,2:1