ARSENAL VS NEWCASTLE.

Newcastle, a team that has never won any EPL match this season might surprise Arsenal.

Highly unlikely hii watu Arsenchieth itanyorosa!

Share a link where to stream live the game

Watching via DSTV.

hesgoal.com
not the best quality lakini no lagging

https://www25.eplsite.football/

Arsenal wamefufuka 2nd half baada ya kufunga offside goal.

Unaona aje ile Derby ya kesho? Chelsea v ManUnited? Nimewekelea bet yangu na vijana wa Man U…:(:frowning:
Wameniambia ati sisi ni mabibi wao:mad:.

Una enjoy mimi, kush na Turedio lakini mambo hubadilika.
Baada ya Ole kutolewa Man u ilianza na ushindi.

Thank you

A ‘derby’ is a match between local rivals. i.e. teams that are from the same city , Chelsea Vs United isn’t a derby, one is from the city of London the other is from Manchester

:D:D
khaseer

wivu itakumalisa

Wrong!!

:D:D:eek::eek:

Hehe… derby ni nini madam?

Sijui. Keep your focus on the games.