Arsenal vs Newcastle

3-1 in favour of Arsenal is my prediction, Aubemiyang on the score sheet.

Newchieth 2 - 1 Arsenmeffi

Tema hiyo mate mkubwa.

Fuck Mustafi!

Arsenal shieth…Niko nyuma ya Newcastle.

Mundu bado hujazima?

Yesterday Chelsea walked out of the scare .

Hii game naweza stream online wapi ju gofirtrow.eu imenisnob?

He he he, Mundu strong.

@sludgist mzito ulitoa wapi io correct score??Newcastle imenyoa Arsechieth
@Mundu Mulosi pole…toj

waah, na hivyo ndio imeisha.

:D:D:D:D:D
Si hizo fancams zikuje mbio.

no away wins in 2018,& only 2 points ahead of burnley .poor gunners

Hahah bet yenyewe niliweka over

Wenger out. Our away form this season has been beyond pathetic

mkubwa i hope ulibet correct score…najua umekuka mzuri walai

I like this.

The prick of a manager has his eyes on Europa… Choosing to play with attack without mid and a shaky defence…Wenger Ni Meffi

Mtu wa Man U, pia nyinyi mmepatikana.
City has won the cup

[MEDIA=twitter]985561099029401600[/MEDIA]

Hio nimekubali…summer clear out ndio nimengoja sasa…We have 0 width. Young is useless against teams that pack the bus. Mata pia anaweza enda sasa…