Dismiss Notice
You cannot view some content because you are browsing this site as a Guest. CREATE AN ACCOUNT to enjoy access to all content.
 1. uwesmake

  uwesmake Village Sponsor

  Uncle Wenger ako ngangari pale Emirates hata kama mtu wake amwibiwa kura wacha ajiconsole na hii mechi  Arsenal 2 - Leicester chieth 0


  Lacazette anafunga bao mbili
   
  coldpilsner likes this.
 2. kanguthu

  kanguthu Village Elder

  2 goals in less than opening 5 mnts, hii itakuwa Kali. Lakini hapo kwa lacazette hujakosea. Endelea kukaza brasa.
   
  uwesmake likes this.
 3. uwesmake

  uwesmake Village Sponsor


  Niko ngangari na Wenger
   
 4. vuja de

  vuja de Village Sponsor

  Niaje Swara
   
  uwesmake likes this.
 5. nelo angelo

  nelo angelo Village Elder

  Wenger out:D:D:D
   
  uwesmake likes this.
 6. G-STAR NYONGETHA

  G-STAR NYONGETHA Senior Villager

  swara, meeffi blali fwaking, my 2k imekunywa maji
   
  uwesmake likes this.
 7. kalel

  kalel Village Elder

  Hii nyoka nikama imehakiwa
   
  uwesmake likes this.
 8. kaki86

  kaki86 Village Elder

  #wengerout
   
  uwesmake likes this.
 9. 123tokambio

  123tokambio Village Sponsor

  Niaje Swara, naona umeendeleza mahali uliachia, chieth!
   
  uwesmake likes this.
 10. G-STAR NYONGETHA

  G-STAR NYONGETHA Senior Villager

  nakuona pale fantacy league, my other handle ilikua equater
   
  123tokambio likes this.
 11. 123tokambio

  123tokambio Village Sponsor

  Ozil bloody nugu.Wenger uza hio mzembe
   
 12. 123tokambio

  123tokambio Village Sponsor

  Manze nini inakuwanga mbaya na hii team ya wenger game ya kwanza? Sasa nacheki Oxlade ako right back na Hector left back, Kolasinac mid hii mambo gani?
   
  G-STAR NYONGETHA likes this.
 13. 10000 OTHERS

  10000 OTHERS Village Elder

  uwesmake likes this.
 14. 123tokambio

  123tokambio Village Sponsor

  Hii ilikuwa kuponea jo
   
  uwesmake likes this.
 15. uwesmake

  uwesmake Village Sponsor

  :D:D:D

  Wenger ni ndugu ya heart attack na imagine ilikuwa team ya chida but isorait  WENGER FOR LIFE
   
  G-STAR NYONGETHA likes this.
 16. WuTang

  WuTang Village Sponsor

  Defence iko chini sana, kwanza that header that Vardy scored, it was too easy.