Uncle Wenger ako ngangari pale Emirates hata kama mtu wake amwibiwa kura wacha ajiconsole na hii mechi
Arsenal 2 - Leicester chieth 0
Lacazette anafunga bao mbili
Uncle Wenger ako ngangari pale Emirates hata kama mtu wake amwibiwa kura wacha ajiconsole na hii mechi
Arsenal 2 - Leicester chieth 0
Lacazette anafunga bao mbili
2 goals in less than opening 5 mnts, hii itakuwa Kali. Lakini hapo kwa lacazette hujakosea. Endelea kukaza brasa.
Niko ngangari na Wenger
Niaje Swara
Wenger out:D:D:D
swara, meeffi blali fwaking, my 2k imekunywa maji
Hii nyoka nikama imehakiwa
#wengerout
Niaje Swara, naona umeendeleza mahali uliachia, chieth!
nakuona pale fantacy league, my other handle ilikua equater
Ozil bloody nugu.Wenger uza hio mzembe
Manze nini inakuwanga mbaya na hii team ya wenger game ya kwanza? Sasa nacheki Oxlade ako right back na Hector left back, Kolasinac mid hii mambo gani?
Hii ilikuwa kuponea jo
:D:D:D
Wenger ni ndugu ya heart attack na imagine ilikuwa team ya chida but isorait
WENGER FOR LIFE
Defence iko chini sana, kwanza that header that Vardy scored, it was too easy.