Nishafika theatre of dreams nangoja kick off in the less half an hour, honestly I am watching this game with a very open mind. Obviously plastic fans wa Chelsea, Man-City and Leicester wako nyuma ya Man-u.
we are beating manure
Sisi kama Juventus twangoja game ya Inter Milan. Tuko hapa for the love of football.
Mimi Sina stima since morning, Hiyo game naionea tu kwa livescores
Enda onea game kwa bar like a normal man!
Watu wa KoDi endeni NJM sports
wacha tukamua awa majamaa
last 8 arsenal visits to OT, won 0 drawn 2 lost 6.
Lakini leo nimecheki lineups and if arsenal doesnt kamua this makeshift man u team… ata league wasahau
Hata kwa Loco hakuna power
Waah, local haina standby generator must be some dingy Geg joint.
Leo Man U mpaka walale. Not trained after beating that silly Danish team and a makeshift defence. Carrick of all players in defence.
Van Woman has lost it ata kama kuna injuries.
[ATTACH=full]32452[/ATTACH]
welbeck ana fujo leo:D:D
Arsenal wanajipeana. Hio karibu iwe pena
Rashford ni meffi
hadi carrick ni defender:D:D
Good news gunners Swansea wamefunga Tottenham
Na watch game ya Arsenal kwa comp and ya tottenham nachekia kwa phone
Kiboko ya Ass ‘n’ hole siku zote ni shetani mwekendu!