At this rate

Status
Not open for further replies.

Purr_27

Village Elder
#1
At this rate ya kuboeka kwa hii kijiji itabidi watu wapost picha za nipples ama guavas ili nyoka zitoke
pangoni penye zimejificha...kunabore sana na hii baridi :confused::confused::confused::confused:

Ama mathayos...Anyone volunteer pris?

Or can we have someone tell us a hekaya..Anyone :rolleyes::rolleyes::rolleyes: ???

Disclaimer: This is to the alcohol takers/abusers ,tafadhali msipitishe kiwango kama last time na wanajijua ni nani sijasema ni @junkie n @Web Dev :rolleyes::rolleyes:

money.jpg
 
U

Unicorn

Guest
#7
Simaanishi nyoka ya bad mananasi :rolleyes::rolleyes::rolleyes: I was using symbolism , trying to get peeps form their hiding places :p:p:p:p
Hiyo sio bad mañanasi wewe. You making me feel like a sinner but I know our God is a loving and forgiving God. He'll still let me see the kingdom hall??
 
#13
Leo mimi Movie kwenye keja, sinywi MoonWalker wala Johnie Walker, nimepotesa communication gadget nyingi sana, so am still moaning, ndugu msinitafute, niko matanga kejani, so @Purr_27 mimi kama nyoka acha nirudi pango mwangu ki roho safi
 
Purr_27

Village Elder
#16

Umenikumbusha I had a boss...who when drunk would give out his personal items , he'll be like

"Nani anataka simu ? "

"Nani anataka Hard disk?"

By the time he goes home hasara tupu
 
#18
Umenikumbusha I had a boss...who when drunk would give out his personal items , he'll be like

"Nani anataka simu ? "

"Nani anataka Hard disk?"

By the time he goes home hasara tupu
Hahahahaa! big blunder mine is a different case, yangu ya mwisho ilipotea nikiwa Kichinjio ya mbuzi, acha niachie apo joh! huyo ndiyo yule boss aliku fly somewhere na akaenda na mbuzi choma mguu (just asking)
 
Status
Not open for further replies.

Top