Mliskia hii stori ya huyu msee.
[ATTACH=full]6672[/ATTACH]
Bob Collymore: I don’t like Kenyan food
Jamaa alijikaanga na mafuta yake, ako na upus sana.Kwanza naskianga anakamuanga waschana wadogo sana, hio sio kumalizia wanaume chakula?
1 Like
Nimechelewa salon?
If I had the digits like him I would also kamua them DF
1 Like
You mean he eats Gods Top Layer
Wapi stool…muchene just began
1 Like
Kwani he has to like kenyan stuff? I dont think he is kenyan anyway.
[ATTACH=full]6758[/ATTACH]