Ati in Kayole it is forbidden to buy/own a flat screen TV?

Status
Not open for further replies.

Jirani

Village Elder
#1
My nigga was sausage fungwad by a chic alipata reggae na since jamaa ana stay na Aunty yake (Alitoka Ocha juzi na amekuja further studies Nairobi)...hakua na mahali ya kuchimba dame so shoree akamshow waende kwake kayole. Jamaa alipatana na hii view!! Mind u dem ako na job..when he asked her mbona hana TV ya pawa..she said in Kayole its forbidden to buy a flat screen expensive TV. Ati ukinunua utatembelewa na Gaza boys so hakuna haja ya ku risk.

Je Ktalkers wa Uyole, is this true?
waaaa.jpg
 

Jirani

Village Elder
#6
Umbwa ww..enda utafutane na Wakanyama

Si kartel worshippers surrendered last month to the police
Not All...Wengine bado wako kazi

Sema ni wewe uli-sausage-wa.. na hakuna vita.
sio mm Older walae

na mwenyewe hana kwake, anafaa akumbuke;

"In a gathering of bicycle owners, the guy driving his father's car is not allowed to speak in front of them"
what a stupid mannerless guest "your friend" is. mtu akitembea kwa wenyewe anaenda kuwauliza kwa nini wanakula sukuma bila nyama?
Muelewe ni msee wa ocha ..samehea yeye
;)
 
#18
its forbidden to buy a flat screen expensive TV.

Hapa ndio umejitoa kinaga ubaga kwamba ni wewe, wala si swaiba wako ambaye ako na akili duni kushinda ya konokono. Kizungu kinakupiga chenga hivi braza.

Hii ni hekaya. Unaongea kujihusu, hapa ni kwako. Unatafuta maoni tu. Fala
 
Status
Not open for further replies.
Top