Ati nini vile!? Hahahaaa..!

[ATTACH=full]177252[/ATTACH][ATTACH=full]177252[/ATTACH]

Nimekusoma kaka! Ya ugenini yanatia moyo

@Sakayo umemjua nani huyu mwenye Uzi?

Hapana jirani

@Jirani waitwa

Huwa siwaelewi wanawake especially hawa mabinti wa kisasa, yani wao kila wakiweka pambo lolote jipya mwili wao lazima watatafuta namna tu ya kuwaonesha wanaume.

Sababu ni simple, wanataka kupigwa kende

Slay Queens ndo style yao
Kwa sasa

We nawe unaachaje kumjua mchawi mkuu wa JF na mfanyakazi mstaafu wa mochware… ??

Aiseee

Aiseee
Kwa nini amekuja na jina LA kimalkia?! Halafu wewe ni yule x mchepuko wangu au ni naniii

Hahahaha LOL

Slayqueen huyo na muondoko wa madoido haha

Nakuchekesha eeehhh

Sasa mkuu kipi hapo huelewi.??

Nashangaa pia

Wewe Sakayo wewe hujambo?

Usijifanye hautuelewi wkt sisi tumeumbiwa nyinyi…tumeumbwa kwa ajir yenu

Mimi sijambo kabisaaa, vipi wewe hujambo???

Simpati dogo, vipi kwema???

Sijambo pia mpendwa…

Bhana wewe nini hapa hadharani? Ila sio kwema sana