Wakuu!
Nimefurahi sana tumekuna tena hapa baadhi wa member wa JF. Ila naomba kuuliza na huku Usalama Upo…?
Je Mzigua yupo humu…? Kama yupo anatumia ID gani.
Wakuu!
Nimefurahi sana tumekuna tena hapa baadhi wa member wa JF. Ila naomba kuuliza na huku Usalama Upo…?
Je Mzigua yupo humu…? Kama yupo anatumia ID gani.
Usijiachie sana mkuu. Tunadhan tumejificha kumbe miguu inatuumbua.[ATTACH=full]178027[/ATTACH]
Hilo geto kama la nas
Umeshanipata bby kuwa na amani.
So happy finally i meet u babe.
mambo ni mengi
Tupo kwa watu unaulizia vya watu!
Nani cha mtu humu?
Life