AUGUST 1ST, 35 YEARS LATER- AIRMEN DREAMS STILL VALID

@Meria Mata kaa hii time ulikua upper primary SAA hii unatosha kuitwa guka.
@Jazzman hii mwaka ulikua rank gani?

Hehehe, @gashwin alikua ALevels na @FieldMarshal CouchP was already working. Gojea nipark nikuangushie hekaya ya Aug 1 from my perspective

:)nilikuwa fourth form ES

Masweep muoto muoto indirectly

how can a very educated guess be a sweep?

I think anasema hii thread ni sweep kwa watu wa UOTP. Let’s commemorate 35 years of Raila trying and failing to overthrow the government.

So you are 50-55yrs?? Older than my papa. Heshima ntakupa kuanzia leo

my age is on record in these streets, Sir…:D:D:D:D:D

Village fossil

very well, village chickling…:slight_smile:

I was exactly 8 years and 3 months old when this stuff happened. I recall seeing cops in our estate keeping guard. Later on when I became old I was informed kulikuwa na mshukiwa. Some fellow who worked for posta

One year and eight months old.
My Mum met the soldiers as we were walking home from the shop. She put me in a basket and ran home.

Mimi nilikuwa bado kwa mawazo ya Mungu kwamba nitazaliwa…

Fossils wawekewe section yao

Was not born…but i remember my dad telling me stories…:D:D:D

Early men

My dad was off from College Na kuingia Ministry of Commerce.

Threshold ya thread isha fika.

Niaje Soldier? are you saying sisi ni Zinjanthropus

na sahi wewe ni elder?

Karibu tupatane miaka,ingawa uko mbele kiasi.