Away Match

Wadau, kuna landwhale imeniita mechi huko Arusha, na huwa navuka na my normal passport. Since hii mambo ya renewal ya e paspport itokee sijawahi bother kuiapply, watanisumbua namanga border ama nitafute tu ile ya mwaka moja?

Watakusumbua sana Namanga kama hauna mbisha ya landwhale.

Hakuna hata mbicha ya pandi ya landwhale ,papa?

You are taking a journey all the way from Nairobi to Arusha just to pour in a hole? Wacha ujinga wewe theta male!

???, unbelievable

Muhamaa ogopa match fixing

and other businesses…

Hiyo ni Sawa!

the PNC in such endeavor inaeza fanya ujinyonge

National ID tu imetosha. That applies to East African Community countries.

[ATTACH=full]247294[/ATTACH]

Na permit from Eshitizen ka ni Namanga borderpoint.

Tafuta tanzanian slay quins achana na landwhales and arusha is a very dull town.