@Azor Ahai, kwani post yako ya daring abroad imeenda wapi?

biz ya property hapa kenya ni extreme sport. Kuna development fulani walikuwa wamejenga ma apartment za kifahari pande za ma mombasa road. Walikuwa wanaziuza kama 9m huko ma 2010 - 2012. About 120 of them. Developers walikuwa wamechukua loan na bank. Wakajenga, wakamaliza, wakaziuza.

Just when the buyers were starting to seriously follow up on their leases, jamaa akajitokeza na Taito…. na summons za kotini. Ati nini? Anadai developers wamejenga kwa property yake. Eh? Sawa. Alikuwa amesue developer, na management company yenye ilikuwa imekuwa registered by/for the purchasers. Na wao nao kupewa summons, wakaziweka hapo mezani wakiziangalia gathering dust and the occassional curry stain the way idiots do. Kesi ikaendelea…mwenye property akaleta evidence. Koti ikasema you know what? Maze hii property ni ya huyu msee. Akapata ka jajment. Sasa ni kufurusha watu.

Just before astonishment ya purchasers kuwa served na ma notice za eviction notice ianze kusink in, before waanze kuamua watafanya nini, bank ndio hii tena. Ati nini? oh hapana, developer hakuwa ametumalizia ile dough tulikuwa tumemuadvance na interest imepanda wazimu. So …asante kwa chai, lakini tumekuja …tunataka ku exercise statutory power of sale over apartments kadhaa - sio zote, kadhaa.

mtu kama huyo amepatwa na double whammy ya kufkuzwa na apartment yake na kuwa one of the ones apartment yake inachukuliwa na bank - kwanza hiyo dough alinunua nayo apartment ilikuwa retirement yake atasaidikaje?

Na hiyo ni horror story moja tu.

Advise yangu kwa watu wako na kapesa na wako nje ya kenya - watu wako hapa wengi wanangoja kuwapona. Kuwa veeeery skeptical na land deals za hapa.

Ndio hii mdau.

https://www.youtube.com/watch?v=lK5AMalCLVc:939

Lakini hii ngori inaangukia side ya client sio developer. The developer probably knew land sio yake. Clients ndio huumia more often than not juu developer hukuwa amerushia bank hiyo ngori through loans.
Being a developer is smart. Being a customer to a developer ndio kucheza na moto. Kitu yoyote ikitokea the final buyer loses.

That sounds a bit salty. Kenya has changed. Plus you forget the media would be happy to expose such fraud.

Hebu weka hio story hapa. It doesn’t sound accurate.

The person at fault would be the developer and not the home owners. And who is this owner of the land who waits until the land is developed just to cause problems later?