B/S permit

Wadau, what do i do to get a business permit at a cheap price. Nimeenda hapa thika wakanichapia bei zingine joh.

Ni ya biashara gani?

Place ya gaming

Place ya gaming

Walikuambia how much na ni wapi?

Runda, wananidai 8k

Licences arent like asses for PIMPIN Moddafukka! :smiley: