Baada ya Forum Kubwa East Africa na na ya Pili Barani Africa Kufungwa Wakenya tupokeeni.

Sote tunafamu kwa Afrika Baada ya Nairaland Forum inayofuatia kwa ukubwa ni Jamii Forums tumepata kadhia kubwa sana kufungwa kwa Jamii Forums hivyo tumeamua kuna kuchangamsha Kenya Talk Kiforum Kidogo zaidi Ulimwengu.

I’m glad I didn’t find Kikuyu or Jaruo Forums too!

Acha tukuze umoja wetu.

admin rebrand to “east African talk” change is constant.

Mimi naomba nijue jambo tafadhari, hiv hata wenye application tunaopata $1 kwa siku au isifike tunahusika?

bingwa detected

Haa!, sikujua kama jamiiforum ndio iliyokuwa forum kubwa kwa africa mashariki, naamini muda sio mrefu tutarudi nyumbani. Ngoja ni balizi kenya kwanza kwa muda.

Nachukia kiswahili cha t.z. it just doesnt sound right

Sasa ndio utakoma tumekuja humu mbona Utakunywa chang’aa kila siku

Jf walipewa taarifa siku wao wenyewe tu
Wametukosea sana

Nduguyangu huku hutapigwa ban
utafutwa mazima kama @annael
hapa hakuna kuwapinga au kuwapa kejeli

Is that you, Samuel?

Pengine umuite mara tatu ndio aitike.
#Bibilia

ila hii forum naona kama imepooza sana mana majukwaa mengi hamna hasa ya michezo pengine huenda ikachangamka kama jamii forum

kwa hiyo ni makatili zaidi ya serikali ya tz?

annael=@T255, yupo

Hehehe…i’ve never forgotten that daft fella… Am sure @Antonio Mascaro ashamsahau :D:D:D

Hehehe @annael ama sijui @anal … meffi sana hio mtu

Sina nguvu tena, ya kuua simba. Simba ni mkali, aliua baba, aliua shangazi, sasa kimbieni

haha!
tatizo umezoea KiLugha, sasa ukisikia swahili fasaha unaona kama sio, ila ni kw asababu tu haifanani na kilugha chako.

same as jamican au Nigerian English, useme ni nzuri kuliko English kutoka UK.

Ati English kutoka UK, pleeease, obviously, you haven’t heard the Scots or Northern Irish speak english, and they are in the UK, aaand, Tanzanian Swahili sounds sissy

At last we have found a temporary peace haven