BAADA YA GOODLUCK HUYU NDIE MSANII WA GOSPEL ANAYEMFUATA

#1
SIKILIZA WIMBO WAKE SHARE NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI UBARIKIWE
BAADA YA GOODLUCK HUYU NDIE MSANII WA GOSPEL ANAYEMFUATA
Fabrice ni mtanzania aliyoko marekani anaimba nyimbo za kusifu na kuabudu amekua akifanya vyema ikiwemo mwaka huu kuchaguliwa katika tuzo za sauti award nahitaji sapoti yenu kwani endapo ukisikiliza nyimbo hizi zikakubariki ujumbe ufike hivyo hivyo kwa watu wengine muwe na amani na baraka tele. share, like. comment na subscribe 
Last edited:

Top