Baada ya kupigwa "kibuti" na Mtanzania sasa nahitaji Mkenya

Hi,

Kibuti au kuachwa kunauma sana…yani hapa nilipo nipo mpweke hatare…wakaka wa Kenya…
tafadhali mmoja wenu anipokee anitulize…

Ndio nipo kwa ajili yako, pitiza chumbani moja kwa moja

Nipo kwa mlango…mbona kama upo na bibi ingine

Karibu 254 mrembo, tutakusahaulisha aliyekupiga kibuti

Mpenzi wangu hujambo?

Asa

Asante…maneno tu nimefarijika

Kila kheri mkuu

Wanawake wa tz bana

Mkuu umewahi siti.

Yajayo yanafurahisha.

Umekuwa lini mkenya we mzee

:D:D:D Hataki kuachwa mpweke jamani…

Sio Bibi mingine huyo ni Nyanya Rukia

hahhahaha

duuuuu aise.

Ha ha ha ha mzee na lugha imebadilika?

Kuna wakati tulisafiri TZ kikazi na mshikaji wangu ambaye ameoa. Tukiwa kule akawa anasema amemwacha bibi yake mpweke anaogopa asimpate jirani anampa ‘huduma’, watu wanabaki wamemshangaa… Tulivyoelewa tofauti ya maana ya bibi Kenya na TZ, nilimcheka sana jamaa

Ha ha ha ha Kenya ukisema Bibi anamaanisha Mke ila ukisema Nyanya ndio grand maa mwenyewe

Hahahaa. Lol.

Nimecheka kwa sauti Wallah. Usijali mwaya utapata.

Sababu huku ndio nyumbani kwao lazima mmoja aje ajitwalie.