Nimeshangazwa na kitendo cha watu wengi kudhani kwamba JF imefungiwa kwa sababu eti ya mambo yaliyokua yanapostiwa hususani yanayohusu siasa…
people mjifunze kuelewa viitu vinayoendelea kwenye nchi zenu kwa kina kabla ya kulalamika…
jf imefungiwa sababu haijakidhi mashart mapya yanayowekwa na TCRA, kama vipi walipie leseni waendelee kufanya kazi, sio longolongo zingine
Kama wanawake wote wangekuwa na mawazo ya kipumbafu kama wewe, walahi nisingeoa
sasa kwa mfano wewe nae unajiona mwanaume wa kuoa, hata mm pia nisinge, acha ushabiki maandazi
yep kama ulivofanya wewe blaza
Sawa karibu
Waambie na akina jingalao waje
watakuja tu wasubirie,lol
xoxogossipgirl:
Nimeshangazwa na kitendo cha watu wengi kudhani kwamba JF imefungiwa kwa sababu eti ya mambo yaliyokua yanapostiwa hususani yanayohusu siasa…
people mjifunze kuelewa viitu vinayoendelea kwenye nchi zenu kwa kina kabla ya kulalamika…
jf imefungiwa sababu haijakidhi mashart mapya yanayowekwa na TCRA, kama vipi walipie leseni waendelee kufanya kazi, sio longolongo zingine
Mamaeeeee zako.Wadhani sisi wajinga kiasi hicho?
Sijuti
June 18, 2018, 10:05am
9
xoxogossipgirl:
Nimeshangazwa na kitendo cha watu wengi kudhani kwamba JF imefungiwa kwa sababu eti ya mambo yaliyokua yanapostiwa hususani yanayohusu siasa…
people mjifunze kuelewa viitu vinayoendelea kwenye nchi zenu kwa kina kabla ya kulalamika…
jf imefungiwa sababu haijakidhi mashart mapya yanayowekwa na TCRA, kama vipi walipie leseni waendelee kufanya kazi, sio longolongo zingine
Kwanza JF Haijafungiwa, wameifunga wenyewe kwa manufaa yetu, rudi lumumba ukakojoe ulale
Masharti gani hawajatimiza??..yataje hapa tuyajue,sio unakurupuka tu
Masharti yenyewe lengo lake ni kuwaminya watu wasiikosoe serikali
Yaani watu mpaka sahizi mnashindwa kuelewa chanzo cha kuja na hizo Sheria ni kwasababu ya Mijadala ya jamiiforums ambayo jiwe halipendi?
Sheria zimetungwa ziliilenga Jamiiforums , hizo blogs zingine ni kama sababu.
Eli-91
June 18, 2018, 10:32am
14
umeamua kujitoa ufahamu sio?? unadhani hizo sheria zimeletwa kwa sababu gani??
xoxogossipgirl:
Nimeshangazwa na kitendo cha watu wengi kudhani kwamba JF imefungiwa kwa sababu eti ya mambo yaliyokua yanapostiwa hususani yanayohusu siasa…
people mjifunze kuelewa viitu vinayoendelea kwenye nchi zenu kwa kina kabla ya kulalamika…
jf imefungiwa sababu haijakidhi mashart mapya yanayowekwa na TCRA, kama vipi walipie leseni waendelee kufanya kazi, sio longolongo zingine
Utakuwa malaya wa Kariakoo selling your smelling and dirty v*gina
wanatakiwa wafate vipengele vya sheria iliyowekwa kwa watumiaji wote wa blogs na vitu ka hizo, walipie na wakate leseni ndipo wawe hewani… hapo tatizo liko wapi kwann mtu usifate masharti kama yanavyowekwa ukaendelea na kazi zako kama kawaida.
eh manake we ndo unanunuaga wenye wana smell na wenye dirty virg kama bibi zako kijijini
hata hivyo we unaumizwa na nini na K sio mali yako… maandazi wewe
kakojoe wewe na wenzako mnaotumia neno kufungiwa… btw nimelitumia sababu kila mtu anasema wamefungiwa…