Babu Owino

[MEDIA=twitter]913390001362210817[/MEDIA]

Hiyo ni 1M imeenda hivyo in 2days:D:D:D

i find it weird when i hear wakikuyu wanasema kenya iko mbele sana na ug iko nyuma kisiasa wakati bado mna sherekea wakati mjama mwenye ame tusi rais ana kamatwa na kufungwa in form of witch hunt …

if you want kenya to be a democratically developed country give her ppl freedom of speech and stop curtailing the opposition

I wish ashikwe tena… Mara kama 32 hivi apate adabu…

ime enda aje … ebu jifafanue ili usikae mjinga

By evening atakuwa re-arrested for drunk-driving…

Sema kuwekwa baridi. Now he is looking over his shoulder expecting to be pounced on anytime.

I’m sure tumbilee have put the fear of God in Babu, saa izi mkia iko katikati ya miguu

kama amepanga hepi na visorokwinyo aiweke man-cave

wewe na hio werevu yako lazima nikuelezee pesa iko kotini? Mischew
Si bado angekuwa na all that cash kwa bank…ala!

in politics there is no bad publicity; he should use this limelight opportunity to raise his voice and draw the country to the cause of free and fair election with reforms in the IEBC

no, ume sema hio pesa ime potea siku mbili, ebu fafanua kenye unasema

Omogusii, malumbano kati ya wakikuyu na wajaluo achia wenyewe…ilianza kitambo…enzi za babu; na sio Ongili…

Right there.

That is one of your many problems.

Will be refunded in a few weeks.

akona ujinga huyo babu… nkt ghasia

unatusi watu and start pleading ohh freedom of speech ohh democratic space. i am a quiet man and find it really hard to hurl uncouth abuses. i actually evade confrontations or anywhere there will be exchange of bad words or even fighting. call me a coward if you may, but abuse me the way that babu boy did the president, and i will teach you a lesson you will never forget.

tangu lini matusi ikawa freedom of speech?we have to strike a balance between insulting and freedom of speech,irregardless of the political party.and again lets avoid blanket cover of parties to perpetuate bad behavior.

hiyo kesi itasikilizwa mwakani

babu owino ni mwenye uon ama ni kiherehere ya wanafunzi wachinga