Babuon isn't fooling anyone

#12
From my buddy Energizer in the other side:

Nyanza Resistance Movement agenda #1:

1. Laini za Safaricom tupeni, na kama una pesa kwa M-PESA uzitume kwa Paybill ya Okoa Kenya,
2. Accounts za Equity fungeni,
3. Maziwa ya Brookside na Tuzo msikunywe,
4. Pesa ziko na sura ya Unyatto Senior mzitupe,
5. Githeri musahau kabisa,
6. Mkate ya Festive msiguze,
7. Chips za waru kutoka Kinangop msikubali.
7. Mananasi ya kutoka Thika achana nazo.
8. Mahindi ya Trans Nzoia muache,
9. Chai kutoka Kericho forget,
10. Pombe ya Keroche kama Summit Lager musahau,
11. Mathree za 2NK Sacco muachane nazo,
12. Mùtura, ngerima, na mùkimo muavoid hata kwa harusi!
 

Top