Baby shower for dummies!

Nikona maswali kadhaa naomba munijuze:

[ol]
[li][SIZE=5]Hii baby shower huwa ni nini na ya nini? (Kenyan Version)[/SIZE][/li][li][SIZE=5]Wanaume ni wahusika katika hii sherehe? [/SIZE][/li][li][SIZE=5]Kama wanaume hawahusiki, huwa wanaenda wapi?[/SIZE][/li][li][SIZE=5]Mtu hubeba nini akiwa invited?[/SIZE][/li][/ol]

Note: [SIZE=5][COLOR=rgb(184, 49, 47)]Kama hujui kitu kuhusu Baby Shower pewa kiti na ucheze chini![/SIZE]

[SIZE=6][COLOR=rgb(41, 105, 176)]Ni hayo tu! Hekaya zikuje:cool:[/SIZE]

Ni saa ngapi??[ATTACH=full]166735[/ATTACH]

-Ni ya madame sana sana unles unabebeana kibenje
-nunua kitu yakumfaridi mto kama vile diapers,blankets …fikiria hizo zingine
-wanaume wanakuaga either kwa ka local ama job depending on the day and time,you send bottles of alcohol wanawake wajibambe pia

Nunua Shower cap ya mtoi, na shampoo kidogo, kasabuni ivi, such stuff

:D:D Hakuna neno Kama hilo

Enda ukae katikati ya wamathe ukunywe tusker cider upige mushene venye mama nani alikosana na baba nani

Hii baby shower ata sijui kama inakuanga before mtoto azaliwe ama after

Na mtu ajibu hii swali! Hizo maua wanavaa kwa kichwa huwa ni za nini? what does it signify?

Are they mocking Jesus with his crown of Thorns? These events should be investigated! Hakuezi kosa msee atafikisha threshold baadaye na the invitees

Diapers and wipes, buy diaper za kitu one year old.

@Josto Bwaku
@pimpin5000hoes
[ATTACH=full]166778[/ATTACH][SIZE=7]poleni watu wa A kiswahili sikujua hakuna neno kama hio,labda nimeitumia kishenz please fanya korekshen ya vile ningetumia.Naona pahali ujuzi imewafikisha:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D[/SIZE]

Faidi

you did not even type, you copy pasted even source format. go back to the site you copied from, scroll down and I bet the questions were answered there.

Hii ndio akili ya mtu hajui kutumia tools za editing, but thanks 4 the ups sikujua inaweza tokea kama ya site! [COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=5]Pewa kiti na ucheze chini na si tafadhali![/SIZE]

:D:D:Dkama si tafadhali nitadai utume mzinga ya Jack Daniels pande hii, nizame nayo

:D:D endelea Kumfaridi mtoto :smiley:

they are paying respect to their dead heads.

Umetumia vibaya ama uliandika jina ukaponea kupata iko na meaning?

sasa tutakwamia hapa? oya @introvert niletee ile tirakta ya ddl,watu wankereketwa hapa

Hapa unatuenjoy na tulipata A- Kiswahili 1994

I need to Kamusi the explanation as well… FUCK KISWAHILI