18+ BACK TO OXZA LOUNGE HOMABAY LEO. LIFE'S GOOD IF YOU'RE RICH!!

#1
Nyinyi endeleeni na mashida zenu pole pole. Sisi wenye tunajiweza tuko hapa Oxza Lounge Homabay leo. Nakunywa zangu mbili tatu hivi alafu naelekea Hotel Ambassadeurs kurelax na daughter wa MCA. IMG20210109175848.jpg IMG20210109175740.jpg
 

REMKE

Village Elder
#20
ii ndo literally the worst place to be in homabay, full of highschool kids :DVanity lounge is better but I assume unaogopa akina pamba apo opposite
 
Top