BADO ANATAFUTA

Wanakijiji nawakumbusha @Miss natafuta bado hajampata anaye mtafuta saa hii nimekutana naye maeneo ya nyeri anasaka @Nyang’au1 wa kumbadili jina

Hahaha! :smiley: Hatonipata kamwe huko Nyeri. Aje tu huku Olooyangalani na awe tayari kabisa kuitwa Mrs. Olemudimusirkon. :D:D

Kwa sasa Anaitwa miss mkimbizi2018

:D:D:D:D:D:D Mi nasubiri chakula ya kopo dadaab hawezi kubali

Ataenda kupikia murang’a:D:D:D

:D:D

Hahaha watakua washampachika lile jina lao la Kunguruu

Huku nimeskia kuna KUNGURU!