Kweli kisungu ni shida.[ATTACH=full]126020[/ATTACH]
Kizunguzungu ya Kizungu
hii ni app gani?
Badoo
kizungu ni kizungu tu kukauka is real
Kizungu kimekua kizungumkuti
Kwani nimeona psycology hapo?.kama ni msc tunajua huyo ni nani
Hii niile kizungu ya cat-walk
:D:D:D
Sikilia mimi.
[ATTACH=full]126070[/ATTACH]
He he heee
Achana na kisungu sio mashakura. Iko wapi ile ngombe ilidai inatafta bibi hapa ktalk?
Ukimuona mwanamke usoni mweupe halafu miguuni mweusi…my braza piga nae picha huyo ni pundamilia toleo la mwisho!!
Meeting friend,meeting people,friends,life parks… Interesting interests.
Poko wa sj anafikiri kila mtu ni fala
Mapoko wote kwa profile zao huwa self employed; Owner.
…and studied at UoN.
Dryspell is real. Ebu tonyeshe za Tagged na Tinder pia
Kisungu ilikuja na meli hapa kenya, sioni jambo LA maana kuogelelea huyo mwana Dada