Bajeti ya Upinzani Yafurushwa Bungeni

Wabunge wa upinzani (isipokuwa wanaomuunga mkono Prof Lipumba ) wameondoka kwenye ukumbi wa Bunge baada ya bajeti mbadala kuzuiwa kusomwa bungeni.
[ATTACH=full]177089[/ATTACH][ATTACH=full]177090[/ATTACH]
Chanzo: Mahojiano ya ITV na Mh. Silinde.

Poor Tanzania

Aisee…tabu kwelikweli hii nchi yetu

hahahaha mbona kama wako kumi tuuu

Hivi ingesomwa kingetokea nini ?

Wakati mwingine unawaza halafu unakosa jibu.

Hawajui ndio wanaupaisha upinzani?

ndungai anza kujitakasa labda wananchi watakusamehe kidogo maana 2020 haurudi kwenye hicho kiti cha spika, kuendelea kumtumikia sizonje ni kazi bure kwako

maccm akili zao zimewekwa kibindoni, hayaoni mbele wala yatokako, ni upuuzi sana bunge kuongozwa na mijitu isiyo na utu

Jiwe hataki

jiwe jinga sana na kashoga kake ka misungwi

Huwezi kuwa na nchi yenye uchumi imara kwa kukandamiza mawazo mbadala, haya anayoyafanya jiwe ni ukoloni mpya usiohitaji kuvumilika

Kichwa cha mwendawazimu

!
!
Wewe Wabane Huko Wakija Huku Nitakutana Nazo

Walianza kuogopa kuwasikia Majukwaani, ikafika kipindi wakaogopa kuwaona kwenye vyombo vya habari…Sasa hivi wanaogopa hata kuwasikia bungeni, hakika washamba wanaweweseka.

Mkulu ndio hataki

Hivi na hao wahisani wanaotoa pesa kuwasaidia wenye serikali za aina hii nadhani na wao wana lao jambo

nchi ya wakoromije, jitu utafikiri litaishi milele au litaondoka na Tanzania huko ahera

Hatuna Spika tuna kinyago/Roboti tu.

Wao ni wengi na lazima bajeti ipite kwa maamuzi yao lakini nashangaa wanahangaika na mambo yasiyokuwa na tija kwao maana hawataitekeleza hata kama ingesomwa.

Wangewaruhusu waisome halafu wao waendelee kupiga makofi waipitishe bajeti yao hakuna ambalo lingeharibika

Hili jambo linashangaza mkuu , hawa ndugu zetu wanaoogopa nini?

Yaani kutoa lisaa limoja mtu asome bajeti halafu waeendelee na mambo yao yameona upinzani utafaidika!
Hakika tuna safari ndefu sana halafu mtu anaimba jukwaani “tuwe wamoja” huu umoja utatoka wapi?

Bunge la Tanzania ndio Bunge la hovyo kabisa duniani, Kuna wabunge wana IQ ndogo sana.
Mfano akina nje ya box, mwigulu na uchafu uchafu mwingine wa dizaini hiyo kama Betina.

Aisee! Kumbe ndivyo ilivyo.
Nalog off