BAK1 ,umetoweshwa?

Wadau jamaa kapotea humu kitambo.zama hizi kila jambo sio la kupuuuza.bak1 where are you?

Hakika. Atujuze aliko. Maana hata kule JF ya nyumbani wanamuulizia

Duh mbona hatari

Twafa! Ila tusinyamaze katu!

Last saturday was the last time he posted something but he is safe and sound!

BAK1, kuja pande hizi wadau wanakuulizia…

Tayari

Atakuja kama yuko salama popote alipo

Majukumu nayo yanachangia mtu kuadimika sana

Mkuu if it’s true what you said.glory be to the Lord

Noted mkuu.maana zama hizi za kuwindana kama digidigi mashaka hayakosi kuwepo

kutishana tuuuu…!!!

Mbona hajitokezi kututoa wasiwasi? Ninahisi Bashite ameshakula kichwa

Bashite ndiyo nani…??? ‘ameshakula kichwa’'…!!! una matatizo sana…mbona unahisi vibaya kila siku Ufipa utakuponza wewe…!!! Punguza Sononi…!!!

Bak1 come back bro

Kuna Mijitu humu kila anayeadimika wanafikiri mabaya tu sijui ni wahalifuuu…??? na ole wao…

To a usenge wako hapa nyambaf!

Kuna siku nitakutaka uthibitishe Maneno yako hayo na utaiona Dunia Mzima upo pekee…

Mtu mzima hatishiwi nyau.