Tangu awamu ya tano chini ya JIWE iingie madarakani,imeamua kuitumia badari ya dar es salam kama eneo mkakati la kujipatia KIKI.
Alianze mwenye JIWE kwa ziara mfurulizo,mara kukamata magar,mara scanner.akaingia majaliwa na makamera kibaoo nae akaibuka na mita za kupima ujazo wa mafuta.juzijuzi ninja nae kaibukia huko huko na swala la mbwa.
Swali ni je?,kwani pamoja na ziara zote hizo zinazo itwa za kushitukiza bado mambo ni yaleyale.
Hawa jamaa zetu wananikumbusha msemo wa mwalimu wangu mmoja (Mwalimu Fakhi - mtu yeyote of a certain age aliewahi kuishi Tabora mjini ama anamfahamu au alishamsikia): “usivuke barabara kabla ya kuangalia kushoto na kulia kwako”. Hii ilikuwa metaphor ya kuwa “usitende jambo kabla hujaliwazia”
Awamu hii inataka isikike yenyewe tu muda wote likitoka tukio moja linafata jingine tabu tupu kibaya zaidi wanataka wasifiwe tu hawataki kukosolewa hata kidogo wanataka mapambio ya kuwasifia tu.