One suspect arrested, bhang worth Sh. 10m seized at Kirwiro village in Nyaki West, Meru County.
@Mworia Wameru hebu log in kaa sio wewe
[ATTACH=full]209053[/ATTACH]
By the way is anybody wondering whether hii fangi inapelekangwa wapi after case sentencing is over and the poor chap jailed? Not rumuors but something concrete
Inapelekewa watoto wa watu vile shule zimefungwa. Mungu aonekanie nchi hii.
Someone sold him out. Huwezi sema ati ni police investigations.
Umesikia kitu kinaitwa multi-agency?
poor fellow, just when it was ready for the market
Multi agency snitching?
poor fellow, just when it was ready for the market
Kitu kama hiyo.
Marijuana should be legalized. Most developed countries have already done it!
sasa nani atapea ngombe chakula kwa hio boma
wacha ngombe, hata bibi atachungiwa.
Hiyo multi agency…there must be one in that home,
[ATTACH=full]209075[/ATTACH]
Funny that they never impound the seeds only the final product. Haki ya mungu hawa watu wamezoea mbaya, mungu anawaona…Iwe huru.
What a waste
Time for the ‘rats’ to eat 90% of it ikiwa ‘in storage’
Niaje mzae, kuna swali nimekuuliza kuhusu chai kwa thread ingine naomba ujibu
yeah, sorry, i remember seeing it wacha nitafute…
Asanda