Bank financing or hirepurchase of vehicles

Dear esteemed members. Which one is the best method to acquire a vehicle? In terms of cost, flexibility and risk.
Regards

Mkianza ‘in terms of’ …huwa naboeka yangu yote

Following

Tag @Azor Ahai .

Go for bank finance if you can qualify. For the simple reason that the bank May be willing to renegotiate the loan tenure maisha ikikua ngumu. The most important thing is to initiate the talks early. Alafu after 30 days of delayed payments, the bank will mostly give you another 60 days kutafuta doh. Alafu ukilipa hata half on the due date wako sawa.

Some HP guys in mombasa will come for the car mbio mbio once umechelewa na mwezi.

Palekea mpakistan pesa nusu ya ile gari unataka atakupea gari ulipe pole pole…

Mimi huwa sinunui gari na loan so I am the wrong person to ask for advice.

I thought you are well conversant with such, not because you buy through hire purchase.

Bank, interest for hire purchase is normally higher coz they will tell you gari ya 700k ni 800k kama unabuy hire purchase…ukipiga hesabu bank is cheaper. Pia bank unaeza pata loan over 1 year while hire purchase ukipata over 10 months ni bahati. Alafu with hire purchase log book remains with seller/yard, yaani unaendesha gari ya yard mpaka ile siku utapata logbook while bank mnaown pamoja na bank. So gari ikiibiwa on hire purchase ni kazi kuanza back and forth with the yard, banks at least they are established institutions with processes.

Hire purchase: ukipata gari wanakuambia kama nincash ni 700k, but kama ni hire purchase watakuambia ulipe 800k coz unalipa pole pole. So utatoa deposit ya kama 300k or 400k. So in reality unalipa interest ya kama 100k on balance yako ya kama 400k…a whooping 25% or more. Then watakushow maximum ni 10 months so iyo interest per year ni kama 35%, ukienda above 10 months watakushow gari ni 850k or something like that. Alafu yard zingine zinakulazimisha uchukue insurance yao which wanakulipisha at even 5%…alafu wanaanza kukugonga story za tracking, wengine ata hawataweka tracking but utaambiwa tu imeekwa utapewa account ile siku utamaliza kulipa.

Just ignore

Never finance against a depreciating asset. Hiyo ni pesa unapoteza. Unless ni gari commercial.

If you don’t have enough money to buy a car don’t buy,the work you do should determine if you need a car.otherwise Kama ni ya kucommute,a brand new motocycle does it.jamwise iko sawa.

You can use it until when you will afford a car.lakini na loan usichukue because your prayers and the prayers of the bank pertaining the loan are exactly opposite.

Kenyans maze…jamaa anataka tu kujua about best loan terms youve already started with your lectures mara usifanye hii, sijui mbona wataka loan na waeza nunua bike and other bullshit. Just advice him and go to the next thread.

Banaaaeee