BANNING WAZAZI FROM K-TALK

These wazazi on k’talk are always being too judgemental hapa.
Ati
“Kidinyi wachana na bibi ya wenyewe”
“Kijana wachana na poko”
“hiyo ni gonorrhea”
“Unatesa mtoto wa mtu”

they are the party poopers here, it therefore suggest that they be banned from K’talk or atleast the ‘Sex & relationships’ forum
in any case, what sex are they having anyway???

2 Likes

Hapa ndio utotology imetufikisha! Si i thought ukondani after kushikwa clubbing eldy!

8 Likes

Mnuka tako, uliskia niko eldy lini?

LMFAO… uskii mimi nimesoma heading yako kama, “BANGING wazazi from k-talk”… nlikua nishaanza kupiga hesabu mingi sana!

5 Likes

Umekumbusha rule no 16 ya thread ya mabenda4 .

1 Like

@Mzee mzima likes your sentiment

1 Like

@Bingwa Scrotum after kusoma banging wazazi from K-Talk,i thot you would narrating how you’ve banged a few here. accompanied with mbisha kadhaa

1 Like

U
p
u
s

1 Like

:frowning: so no banging then?

Then u want to ban everyone coz mzazi ni yeyote aliyezaa ama ana uwezo wa kuzaa.Hapa K talk kuna wazazi mara mbili.Wale wamezaa na kuona matokeo yao na wale hawajazaa lakini wamjibebea vizazi vyao kwa namna ya ’ maniii’. Wewe uko upande upi?

Kwa wasio fahamu , manii ni mbegu za uzazi za wanaume(sperms).

@Bingwa Scrotum wapi mbuzi yangu?

umekitusi kiswahili. hatusemi, “Wapi mbuzi yangu

twasema,

(yu)wapi mbuzi wangu

í ½í¸ƒí ½í¸ƒí ½í¸‚í ½í¸‚

Upus

wewe nyesha tu

Utelezi wa lahaja za kwetu. Wapi huyo mbuzi baada ya wewe kuwa bingwa?