hivi ndivyo ilikuwa…
sasa ni hangover kibao
[ATTACH=full]85633[/ATTACH]
Gin gonna make you sin
Hiyo ni mkono ya webdev?
Am getting an headache just looking at that photo hiyo pombe siwezi guza
:D:D:D:D:D
Hii sikupatii like Walai… …chrome is like bat piss, inachoma mpaka table wipes
He he. These drinks should be illegal
Si ungepakwa kucha rangi vizuri
Huyo mrembo ako na charred nail polish nini hiyo anakunywa
Everything on that table (except mikono ya web developer) costs less than 10$.na itakulewesha proper
infact tuliongeza soda ingine na Kenya king ya jamaa mwingine na tulilipa kitu 8$
Napoleon
Ulisomea primary school wapi?
irrelevant
kamugunda primary, mbona?
Sitauliza tena, I think I’ve figured out kwanyu nikuu
yaani unaulisa maswali ya ujinga ili ujue mahali nimetoka, unajua kathamba iconi?
Umeandika 8$
Hii ni kuchoma mwili. Afadhali jug daniels