Hakuna jukwaa la celebrity inabidi niiweke hapa. Our Tanzania sweetheart alikuwa India akifanyiwa operation ya kupunguza tumbo ili ale chakula kidogo tu na matokeo yake apunguze unene.
Operation hiyo ilifanyika bila gharama kwa makubaliano ya Miss Tanzania 2006 kuitangaza hospitali hiyo.
Celebrate wangine waliowahi kufanyiwa operation kama hiyo ni Hassan Hassanali. Si muda mrefu madame atakuwa size 10.