becky

sisi wote tumewahi fanya vitu za ujinga sababu ya mapenzi, time flani nlikua na kadem uitwa becky…tulijuana na fb juu that time nlikua motivational speaker wa zile motivation quotes za kucopy paste.so huyo dem akaona lazima mimi ni gentleman flani.so she hit my dm tukawa tunachat daily kama mabeshte tu.sasa mimi io time life ilikua imenikalia sana nlikua nastay likoni majengo mapya karibu na msikiti bilal na becky ni wa Nairobi. sasa ikahappen nlikua na beef na caretaker wa hio plot juu mimi ndie nlikua maskini kabisa kwa hio plot watu wameekewa deadline ya rent tarehe kumi mimi yangu ni 5th. mimi nikawa nalipa juu spendi kukosana na watu bure.sasa shida ilikua caretaker nikitoka anakusanya wamama wa plot awashow vile silipagi nyumba mara nadaiwa 3 months, so nikaamua kudeal nae kimwanaume, badala ya kumpa pesa ya nyumba nikatumia mwenye keja juu hakua akistay hapo,bahati yule mwenyewe akuambia caretaker kama nmelipa!.tarehe tano kajamaa kakam kuniitisha doo madharau kamebeba kifuli kakinitishia kufunga,mimi nikamshow sina akitaka afunge,kakanishow nikirudi bila pesa ntapata padlock. mimi nikamshow sawa…jioni kurudi napata kashafunga! nami nikafungua ile yangu nikaenda nikafunga hapo kwake na nikaenda kudoz kwa kazungu beshte yangu flani…na nikazima simu.
kesho yake kuenda kwa plot napata kajamaa ilibidi kafungue hapo kwangu kwa mkeka kalale hapo kakiliwa na mbu…kufika kakalete fujo kakanipiga kofi moja mzito,MAKOSA! ladies n gentlemen mimi huwa sipigani vita ya mangumi na mateke HAPANA!nikatoka hapo nje nikang’oa mti wa kibanda.huyo msee nilimueka rungu nne za mgongo ingine akajishield na mkono ukavunjika! na nikamuacha hapo alikilia Kama mjinga.nikaenda hustle…kurudi jioni napata karao hapo ananingoja ,nikakamatwa,kesho yake nikatumwa kortini,nikishtuka niko rumande shimo la tewa!
sasa kama ushaenda prison unajua kuna wajanja huwa wakona simu huko… nikaomba msee simu nicall home na nitext becky yule mrembo wa fb ajue c kumuignore nvile nko prison.nlipomshow akawa daily ananitumia credo ya soo juu rumande nlikaa 14days…io act ya kua ananitumia credo nikiwa jela ikafanya nimpende.i promised my heart nikitoka ill love and wife her.kumbe nikiwa ndani yule mzee mwenye nyumba alipata habari ati nmekamatwa accusations ni ati sijalipa rent na kupiga caretaker aliposkia akawa furious sana akaambia huyo caretaker awithdraw io case,
after two weeks niliporudi kortini nikapata case imeondolewa.i was free at last,nlipotoka nlistay msa kidogo then nikahamia nai,nikameet na becky tukapendana na mapenzi ikaanza. so io time nikawa nafanya pale nanak trucking kama turnboy.
ndio akanishow alikua KU akisoma course ya tourism management but aliacha juu hakua na uwezo,sababu ya mapenzi nikaenda kwa kampuni nikachukua loan ya 75k nikidanyana mtoi wangu ni msick.nikapewa doo nikapelekea mamake zooote ili ampeleke shule juu ile mapenzi alikua nayo mimi nlimuona wife material… akachukua na akajoin chuo flani iko voi uitwa CIT…akaanza chuo vipoa kapsa…anway tulikaa only 3weeks then she dumped me in a very unprofessional way alinitext tu “AKI U AINT MY TYPE TUACHANE TU” na ivyo ndio nlidumpiwa…mpaka waleo mamake uaga ananicall akidhani tunadate na mtoto wake…ata saa ii alikua amenicall ndio nmehamua kuwachapia hii maneno

:D:D:D:D pole bro

“ndio nmehamua” it could be you are not her type.
And by the way, did she ask you to pay for her school fees?
count your losses bro.

ni mapenzi ilinishow nimlipie

Hiyo kuma ulikula mara ngapi?

3

i hope uli-represent watu wa DFMHKMBM

So kwa kila shot ulilipia 25k :eek:
Ugua pole kaka

hehehhehehehe pewa like.
please complete the hekaya, what is becky up to these days!

pole Gathee. Ulilipa loan.

:D:D 25K a fuck umeshinda ma billionaire wa ktalk

billionaire wa ktalk ni @uwesmake na ulipa rwabe tu haha

huyu jamaa hatawai trust kunguru ingine the rest of his life. Maaaaan fuck these whores!![ATTACH=full]142735[/ATTACH]

'lakini ile story yako ya wangeci ndio hunichekesha hadi leo

hahaha

this is the shit cyprian Nyakundi is advising us to resist

Masaibu ya boychild!

:D:D:D

Very expensive huma 25ks per day!

Link?