Nazidi kusema huu ni upus. Hao watu wote walipapaswa makei huko Nyayo House wakitumia hii case kama precedent, sisi ndio tutawalipa hizo billions zote? Kama ni personal account ya Moi inanyofolewa ingekua sawa, lakini mimi kama mlipa ushuru sijawai papasa makende ya mwanaume mwingine, mbona nimlipe? Upus of the highest order.