Best Schools in Ukunda

Good evening where can i get a very, and i mean a very good school for my children in Ukunda ?
Any leads zitasaidia tuu saana
saaaande saana

G is that you??

Port kunaendeleaje?

Ukunda ni hiyo place next to Diani? I passed by there and all I could see is some weird impoverished place. I doubt there is a good anything there leave alone good school.

Umehamia huko?

who is G?

There are no good schools in Mombasa County, angalia KCPE results.

Are there international Schools ?

Nilisomea highschool huko… Shule inaitwa Kingwede boarding sec. sponsored na verkaar foundation.
Kama still iko headed na same headmistress iko fine i tell you.
though saizi ni girls school.

usipeleke wako Waa sec school

usiogope kufikiria dada.

@solomon munyao Shule haijalishi, motive ya mtoto kusoma na akili tambuzi ndio chanzo cha kupita masomo

brathe maringo mingi ya nini ?
Si ukuwe mpole , pia wewe unaendaga choo na unashonde kama hao watu wa ukunda… Ghasia

@SledgeHammer Pia Mimi natafuta shule mtoto asome uko Mombasa.
But, vile watu wa Mombasa wamekataa kusoma, niliona ata kama Baba yake atafanya kazi huko, watoto hawaezi soma huko.
Kwa hivyo, ukitumia KCPE, mtoto wa kwanza Mombasa alipata less than 420. On top of that, out off the top 500 students, very few were from Mombasa County (Isiolo, Laikipia & Kitui have more: yet the Ministry of Education considers this counties hardship learning areas). Nangojea KCSE niseme kama itakuwa hivyo kama KCPE.
ALSO, niliambia watu mtoto ataenda kusoma Mombasa. Niliambiwa huko hakuna kusoma; mara ni ocean breeze, drugs, the governor, lack of jobs, prostituting (na mtoto ni primary anaingia, secondary I could understand).
As I like researching, @SledgeHammer unataka kusema unaona hii KCSE results the odds of the one of the top 5 students being from Mombasa being possible?

mi niliona public primary school wakienda swimming session Pirates saa nane nikashangaa niaje. Cheki results tena

Uliambiwa… thats the whole point.

mimi nimesomea huko. i know what its like and the highschool brought me to campus

Ndio nakuuliza what happens there (Mombasa)? Statistically, the whole county does not want to study.
Population of Mombasa compared to the number of KCSE & KCPE students is telling me, uko kuna shida. KCPE should have less problems than KCSE students.

stop generalizing… Kuna wenye husoma

Ukweli usemwe, kama ni takataka ni takataka, no apologies. Ghasia humbwar wewe

Sasa usizidishe machungu, poa busha. Maskini kama wa kwenu nyumbani wako kila mahali,

Try Mekaela. I live in Ukunda. There’s also an international school that my boss’s kid is studying. If youre’re interested I can find out the name

Kindly do that